Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kiiza ni mapema kumtabiria....Magu anaweza mficha sehemu nyingine tena.Karamba lolo Mkonda!Namuonea huruma katika maisha yake ya siasa maana aliharibu sana pia haji kupata cheo chochote kile!Hivi atakuwa anajisikiaje??