Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Karamba lolo Mkonda!Namuonea huruma katika maisha yake ya siasa maana aliharibu sana pia haji kupata cheo chochote kile!Hivi atakuwa anajisikiaje??
Kiiza ni mapema kumtabiria....Magu anaweza mficha sehemu nyingine tena.
 
Jumla Wagombea 41

January Makamba kura 680

Aliefwatia 21

Tuendelee Kunywa Mchuzi Nyama zipo Chini
IMG_20200720_192820_305.jpg
 
Ni muda muafaka Bashite kurudi kuendelea na kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
Mnaosema hivi mnajisahau nn kama haya matokeo ya mwanzo ni geresha maana kamat kuu inaweza kumchagua hata wa pili kugombea usije shangaa jamaa asirudi kupika kwenye meli ya wagiriki akateuliwa yeye wa pili kugombea ubunge
 
Kumbuka kuongoza kura za maoni sio kuchaguliwa kugombea ubunge kupitia ccm, anaweza chaguliwa hata wa tano hivyo bado final say kamat kuu

Tunajuwaaa ila tunafurahia ajue kuwa watu hawampendi hadi wajumbe pia
 
Back
Top Bottom