Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.

Yule aliyebadilishana na Zitto akaenda Mwandiga alipataje ubunge wakati Zitto akiwa Mwandiga
 
Mwana habari nguli, tuwekee mkeka wa matokeo ya jimbo la Chemba likionesha wagombea wote na idadi ya kura.
 
Alijichanganya aliposema anaenda bungeni kupanua Huduma yake ya ufufuo!

Bunge halina dini.
manabii tupo japo hatuna makanisa na hatusali kila siku au kukamata biblia kila siku,ila bado mungu anatutumia ,tulisha sema gwajima hawezi shinda na bado ajiandae kuporomoka na kubaki na viongozi wa kanisa lake tu achana na heshima yake kuporomoka kwa kasi ya ajabu namanisha kasi ya 4 G
 
Waliodondokea pua jana na leo Updates

Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
Dk Godwin Mollel apeta
*
*
Wasanii na watangazaji

1.Mc Pilipili kura 1 Bahi
2.Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
3.Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
4.Zamaradi kura 2 Kinondoni
5.Kalapina kura 1 Kinondoni
6.Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
7.Mpoki 0 Kigamboni
8.Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2

Waunga mkono juhudi

1.Lijuakali Kilombero kura 5
2.Silinde Chaliii Tumduma
3.Lazaro chalii Arusha mjini
4.Mtolea Temeke Chalii
5.Kafulila Kigoma kusiniChalii
6.Katambi Kahama Chalii
7.Ktulia Chali Kinondoni kura 11
8.Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
9.Dk Mashinji kura 2 Kawe
10. Paul Gekul
11.Albert Msando

Wengine

1.Askofu Gwajima 79 Kawe
2.Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
3.Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
4.Makonda Kigamboni Chalii
5.Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
6.Sipirian Musiba Chalii Mwibara
7.Goodluck Mlinga
8.Angela Kairuki



NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasoro Mwita Waitara na Dk Godwin Mollel
 
Sema jamaa ni mvumilivu sana bora alivyoshinda this time
Ni Kijana aliekuwa mchapa kazi sana sijajua ndoto ziliishia wapi alikuwa naibu Meya Nimeona jana ameshinda Ukonga Swali langu hilo jina likifika kunako atachomoka??

Namtakia kila la kheri na wana Ukonga wote.
 
Hv ni nan alimshauri makonda kwenda kigamboni wakati hapo Dar majimbo rahisi kwake kushinda lilikuwa ni Mbagala na Temeke
 
Jamaaani mwenye matokeo ya jimbo la busokelo mbeya
Toka jana nimelalamika vyombo vya Habari vimeshindwa kutupa matokeo kamili ya nchi nzima majimbo yote ! Ni aibu sana kwa tasnia... Hadi leo jumatano bado hatujasikia matokeo ya majimbo kibao..
 
Asante mleta mada kwa uzi huu. Hata hivyo, fanya update kwenye post ya kwanza ya uzi huu ili iwe rahisi kupata matokeo nchi nzima.
 
[emoji23][emoji23]
Screenshot_20200721-165417~2.jpg
 
Back
Top Bottom