TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Sio ndogoMwaka huu kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ndogoMwaka huu kazi ipo
Wa zamani kashindaJamaaani mwenye matokeo ya jimbo la busokelo mbeya
Ulitia nia jimbo gani Raynavero?Mwaka huu kazi ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1513657
Mbona sioni tofauti?
Hahaaaaa!!! Sina msuli huo kaka!!!maisha yangu yenyewe kampeni tosha!Ulitia nia jimbo gani Raynavero?
Hahaaaaa!pipa na mfunikoMbona sioni tofauti?
Usiniambie!!Hahaaaaa!!! Sina msuli huo kaka!!!maisha yangu yenyewe kampeni tosha!
Kairuki siyo Kariuki
Yaani full tafrani waganga wamepiga Sana pesa.Sio ndogo
Japo viti maalum ikiwezekana udiwaniHahaaaaa!!! Sina msuli huo kaka!!!maisha yangu yenyewe kampeni tosha!
Eehh! Ndo hvyo tenaUsiniambie!!
Hahaaa!!acha tu no thank you[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!Japo viti maalum ikiwezekana udiwani
Aisee..Njoo huku kwetu uwe mbunge wetu basi.Eehh! Ndo hvyo tena
Akuu wanangu wana wenyewe hoiii!!!Aisee..Njoo huku kwetu uwe mbunge wetu basi.
Usiogope njoo 2025Akuu wanangu wana wenyewe hoiii!!!
Watanzania wameamka, yaani comedian ametupwa kuleeee!Yule muongea pumba na kuomba miongozo na kutoa taarifa zisizo na Kichwa wala miguu Bungeni adondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1513163
Huyo pichani ndiyo Mwaju?Prof Kapuya apeta Tabora kura 217
Mke mzuri kaja na neema View attachment 1513559
Hahahaaaa, haya banaHahaaa!!acha tu no thank you[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!
Hahaha haha.. LolHahaaaaa!!! Sina msuli huo kaka!!!maisha yangu yenyewe kampeni tosha!