Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Hayo yao sisi tumeshamaliza kumpitisha kamanda halisi, acha tume wamzuie dunia nzima wataona!!! Najua figisu nyingi zitakuja kwakuwa hawajiamini, ila kwa mtazamo wangu wamuache tu, ashindane ashindwe bila zogo, dunia nzima waone!!! Zamu hii hatutaki mgombea chotara.
 
Sitaki kusikia habari za kuibiwa kura baada ya tarehe 28/10/2020.


Mlituamisha kwamba Lowassa asiposhinda mwaka 2015 msubiri miaka mingine 50 kwa miaka hiyo imeishapita,tatizo lenu hamtunzi kumbukumbu.
Usinifokee.

Mataga round hii mtanyooka.
 
Apite kwa kishindo asipite kwa kishindo kipigo kiko palepale yaani tarehe 28/10/2020 ni kipigo tu hatuwezi kuruhusu mwendawazimu awe kiongozi wa nchi.
 
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Lissu alijiandikisha 2015, mimi mwenyewe nilijiandikisha 2015 na naenda kupiga kura kituo kile kile! Usikariri
 
Nimefurahi kwamba, Kwa mara nyingine, Magufuli anaenda kuagusha mbuyu mwingine kama ilivyokuwa Kwa Lowasa Yule wa Chadema!
 
Unasema kalifanyia lipi taifa kwani kawai kuongoza nchi????

Unauliza ushawishi wa Lissu ndugu??? Yaani ni sawa na kuuliza tende uarabuni. Hakuna mwanasiasa Mwenye ushawishi Tanzania kama Tundu Antipas Lissu
Wachana na huyo mpiga zumari wa lumumba
 
The Hague kwa bi Fatou Bensouda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…