Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Pamoja na yote hayo, bado wanapambana na juhudi zao zinaonekana!

Nothing but respect to them.
Chengwa twawapigaa sana hawa mayahudi ila mayahudi yatufunga migoli kibao sie kobaaz mibushaaaaaaaa dah kweli wahenga walisema kinachokuwa awarded ni matokeo sio juhudi 😀 😛 mibomu yoooote ile bado myahudi atubonda ka panyaroad
 
Kinofuata ni arms race kwa Iran kupata silaha na vifaa zaidi khasa ADS na nchi zingine katika eneo hilo ikiwemo Israel nao kununua silaha kwa wingi kutoka Marekani na Ulaya.

Hii haijasemwa sana na Media za kimataifa lakini nyuma ya pazia kuna mataifa mawli makubwa (Russia na China) na Pakistan wamefanya kazi kubwa (behind the scenes) kumsaidia Iran kusimama imara.

Msaada si silaha pekee bali ushauri wa namna yoyote ile, kwani China ni mteja mkubwa wa mafuta ghafi ya Iran, Russia ni mshirika wa vita vya Ukraine na Pakistani nao ni washirika wa kibiashara upande wa mpaka wa Balochistan ambako kulianza kupungua mafuta, maembe na bidhaa adimu.
 
Huyo jamaa naye Yuko na double standard sana aisee.
Ndio maana siku hizi hata ukiangalia mijadala yake iko biased sana.
 
Mimi huwezi ntoa hapa ukanipeleka saud arabia nchi ambayo haipo compatible na ninayo yaamini

Sehemu ambayo siikubali huwezi nipeleka kwenda kuishi sijafikia kiwango hicho cha unafki
Ni vilevile ambapo mtu kutoka Saudi Arabia hawez kuja kuishi Tanzania

Marekan ni msababishi wa matatzo hivo anabudi kuwabeba hao wanaokuja kutafuta hifadhi kwake, we ulitaka waende wapi

YANI BINTI ATIWE MIMBA NA SELE HALAFU UNATAKA AOZESHWE FRANK HIYO INAINGIA AKILINI?
 
Ndio ashakubali sasa. Vinu vya nyuklia chakari, wakuu wa majeshi wawili wamefyekwa, mkuu wa Airforce kauwawa, mkuu wa Intelligence kauwawa.

Baada ya hapo anasaini kuacha vita. Kisha wanamgambo wa JF wanakwambia eti Iran kashinda 😂
Uzuri wako mbeleeeni kabisa huko huwa unaukimbia uzi na kuupita kama huuoni na kujifanya umehamia majarubani kulima mpunga
 

Uviziaji uogope.
Hebu chukulia mfano jinsi Ukraine ilivyopenyeza kisisri Drones ndani ya Russia na kushambulia Madege makubwa ya Urusi (Bombers). Iaelekea mastermind wa opersheni ya Ukraine ndani ya Urusi ndiyo Master mind huyohuyo wa operesheni ya Israel ndani ya Iran kulipua air defenses
 
Hata vita zote alizopigana Israel tulisikia same word ina Israel ipo tu, wakishambuliwa wanatoa kipondo tu,
 
Uzuri wako mbeleeeni kabisa huko huwa unaukimbia uzi na kuupita kama huuoni na kujifanya umehamia majarubani kulima mpunga
Mkuu Iran hatokuwa na nuclear weapons leo au kesho.

Kama Iran hajaridhika na kusitisha vita ashambulie tena. Atapigwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…