No,ripoti kutoka Russia kwenyewe zinasema ndege imeshambuliwa. So hapo ni Putin mwenyewe.Yapo na majanga ya asili ujue🤔😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No,ripoti kutoka Russia kwenyewe zinasema ndege imeshambuliwa. So hapo ni Putin mwenyewe.Yapo na majanga ya asili ujue🤔😂
Sijui ni vp ..Prigozhin hakupanda hiyo ndege iliyodondoka
Wenye wered ktk mambo ya ujasus tunaamin baada ya miez kadhaa ataibukia west
Chawa wake watabung'aa tuPutin huyo!
Hata Putin analiwa tu timingBado Zelensky. Na yeye analiwa tu timing. Putin siyo mtu poa hata kidogo.
https://twitter.com/WarMonitorsMbona mnanichanganya.So Prigozhin ni mzima ?
Wajinga tu wanaweza kufikiri putin anagusika.Thank you God,na iwe hivyo.Bado Putin. Binafsi nilikuwa ninasali huyu shetwani afe.
Chawa wa Putin wanasema Putin alimtumia Prighozin kama mtego!Surovikin bado yuko rumande na ameondolewa rasmi kuwa mkuu wa jeshi la anga.
Wamepata picha halisi ya kile kitendo walokifanya kujaribu kwenda Moscow.
Tusiseme ni Putin bali ni FSB ndo wamekuwa wakishinikiza jamaa washughulikwe kwa uhaini.
Ni mjinga tu anayewaza kitu kumtokea putinBado Putin kuliwa kichwa
Kama jamaa kafa kweli ,basi ni 100%Putin anahusika.Wajinga tu wanaweza kufikiri putin anagusika.
Unaakili ya ku’fact check habari kuliko mainstreams media zote Duniani?Mpaka sasa imepatikana miili nane na ktk hiyo mwili wa YP haupo sasa inathibitishwa vp kuwa kaded???
Hajafa huyo ni decoy to ya hao Russia ni mbinu za kivita. Wagner wanajiandaa kuishambulia Poland na boss yupo Belarus.https://twitter.com/WarMonitors
#BREAKING In the plane that crashed in the Tver region, Evgeny Prigozhin was listed among the passengers — TASS
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atakuja pro Russia mmoja hapa ana jina kama mitishamba atashuka essay hizo sio poa na maelezo kibao utazani alikuwepo site ilipo tunguliwa ndege
Ni mpumbavu tu kama wewe anayeweza kufikiri putin kitu kitamtokeaBado dikteta Putin sasa na usishangae hiyo ikawa kazi ya CIA.
Ripoti zinasema Yevgeny Prigozhin pamoja na wasaidizi wake 10 akiwemo Dmytriy Utkin ambaye pia ni muasisi mwenza wa Wagner Group wamefariki baada ya ndege walipokuwa wakisafiria kuanguka uko Russia View attachment 2726536View attachment 2726542
Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
Weka evidenceKama jamaa kafa kweli ,basi ni 100%Putin anahusika.
Wagner walichoka kupigana Ukraine. Wanapigana sana na silaha hawapewi za kutosha hivyo wanakufa zaidi, Prigozhin kafoka sana ila wapi. Mwishowe Shoigu akawaambia Wagner wajisajili jeshini kabla June 2023 haijaisha. Wakati Wagners ni wahuniz wafungwa wa zamani na waliowahi fukuzwa jeshini hawataki kabisa kujiunga uko kuna ukiritimba, sheria ngumu, ubabe na hakuna ushirikiano kama kwao, na mikataba ya Wagner ni renewable wakati jeshi sio, na Wagner hawafungwi na mikataba ya kimataifa na wanaweza hama nchi leo yuko mission Libya kesho C.A.R, next week Mali.Eka vizuri sijakuelewa.