Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Surovikin bado yuko rumande na ameondolewa rasmi kuwa mkuu wa jeshi la anga.

Wamepata picha halisi ya kile kitendo walokifanya kujaribu kwenda Moscow.

Tusiseme ni Putin bali ni FSB ndo wamekuwa wakishinikiza jamaa washughulikwe kwa uhaini.
Chawa wa Putin wanasema Putin alimtumia Prighozin kama mtego!
 
atakuja pro Russia mmoja hapa ana jina kama mitishamba atashuka essay hizo sio poa na maelezo kibao utazani alikuwepo site ilipo tunguliwa ndege
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eka vizuri sijakuelewa.
Wagner walichoka kupigana Ukraine. Wanapigana sana na silaha hawapewi za kutosha hivyo wanakufa zaidi, Prigozhin kafoka sana ila wapi. Mwishowe Shoigu akawaambia Wagner wajisajili jeshini kabla June 2023 haijaisha. Wakati Wagners ni wahuniz wafungwa wa zamani na waliowahi fukuzwa jeshini hawataki kabisa kujiunga uko kuna ukiritimba, sheria ngumu, ubabe na hakuna ushirikiano kama kwao, na mikataba ya Wagner ni renewable wakati jeshi sio, na Wagner hawafungwi na mikataba ya kimataifa na wanaweza hama nchi leo yuko mission Libya kesho C.A.R, next week Mali.
Mwishowe Shoigu akataka kumuua Prigozhin, Prigozhin akahamasisha Wagner wake wafanye uasi washinikize Putin amuondoe Shoigu. Putin akakataa ila Rais wa Belarus akawapa hifadhi Wagner sababu Shoigu ashaonyesha hawapendi na ndio Prigozhin akasitisha marching ya Moscow.
 
Back
Top Bottom