Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Kwa hiyo huyo bwana wako "chigulu" ndio kakuhakikishia kuwa 2030 ni zamu yake yeye!?
 
Well said Kaka. Hawa wapumbavu wanajisahaulisha kuwa wapigania haki wengi wameuawa tena wengine hapa hapa Tanzania wakipigania Uhuru kama akina Mondlane .
 

anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia​




wewe ni boya tuuu
kwanza kama uliyasema Ushahidii uko wapi hujaweka link


2.kumbe ni anayoyasema na siyaliyotokea hapo ni ugoro juu ya ugoro
 
Okay; kumbe mataifa ya nnje USA EUROPE ISRAEL ndiyo yaliyomteka polepole, mdude soka na ndiyo waliompa lissu kesi ya uhaini; ndiyo wanaokamata wapinzani na kuwapa kesi za ugaidi,
 

..sawa.

..ila msisahau kuwalaani wanaoteka, wanaotesa, na kuuwa.

..Wanaharakati wameibuka baada ya Magufuli kuunda genge la wasiojulikana, na Samia amekataa kulikomesha.
 
Usidanganyike hawa wanajua wanachofanya na wananchi wanawachukulia walivyo, zipo taarifa zinakuwa za kweli na zingine ni propoganda za kisiasa, ndio maana unaona follows wanaongezeka kila siku kwao kitu ambacho kimekuwa kigumu kwa machawa wengine
Ukipewa taarifa na source lazima uingie chimbo kwanza kama Da Mange anavyofanya akiona ni TANGO PORI(KASA) anaitupilia mbali ila hao wakipewa taarifa wao wanairusha tu.

Kama taarifa ya Bi Kizimkazi sijui kapooza wao wanairusha tu wakati ni obvious TANGO PORI ,week hiyo hiyo alikuwa kwa Chivayo kisirisiri halafu week hiyo hiyo wanasema amepooza yaani ni Nonsense.
 
Hizi taarifa wakati mwingine zinapikwa kwa lengo la kumjua mvujishaji ni nani ,?

Kwa sasa nahsi vichwa vyao vya moto ,Kila taarifa hata iwe deep vipi lazima wanazenggwe waipate sasa hapo lazima watu waumize vichwa ,kumjua mtoa taarifa ni nan?
 
Unashangaa wanaharakati wakati mamlaka za serekali zinasema uongo wa wazi na hustuki? 2023 walisema itatokea elinino na haikutokea, na sasa wamesema elinino itaanza mwishoni mwa September 2026, lakini hadi leo ni uongo wa wazi, na Bado utataka tuwaamini TMA wanaolipwa kwa Kodi zetu. Hiyo October 2025 tume ya uchaguzi walitangaza kura za uongo wa wazi kuwa Samia kapata kura 31m, hilo kwako si tatizo, bali tatizo unaliona kwa wanaharakati!
 
Na taarifa za elinino ni kweli mkuu wangu? Maana hadi mitihani ya shule imebadilishiwa muda. Huko ulipo mafuriko yameanza?
 
Ninachofurahi ni kuwa serikali hii iko smart sana. Majuzi mlisema Mama anaumwa mahututi ila mkaumbuka juzi alivyopokea mabalozi. Acheni kupiga ramli.
Je utabiri wa elinino inaonyesha kuwa hiyo serekali ni smart? Juzi kapokea Balozi wa uarabuni, ila leo wa wa US na Uswisi wamepokelewa na Kombo! Kwenye ukweli na uongo hakuna wa Kumnyooshea kidole mwenzake.
 
Peleka ujinga mbali, kuna raslimali gani Tanzania za kupiganiwa hivyo ambazo hizo nchi za nje haziwezi kuzipata bila machafuko? Hizo nchi za nje ndio zilisema Samia atangazwe kwa kura 31m? Kungekuwa na hizo raslimali tungekatwa Kodi kwenye miamala ya simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…