TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

AI detected
 
Pole yake sana.

Utaratibu ni ule ule kukusanyana was familia Moja kwenye usafiri ni hatari kuliko kawaida sawa na kwenda kwenye msiba kwenye usafiri wa pamoja au matukio ya pamoja.

Familia ya Chivayo yote imekwenda na maji 😭😭
 
Hilo umbo lake,utokee angani na Helicopter hadi afike aridhi,hapo tutarajie,Mjane,atoke Eda,kwenda kuzika Zimbabwe

Kuna kila dalili mama kwenda Eda mbili
Kwani hana Watoto au wawakilishi? Acha upumbavu wewe ,Chivayo ni Tajiri na lazima akutane na wenye madaraka,wewe maskini utakutana na WA level zako
 
Umeumizwa na kifo cha huyo fala?

Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.

Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.

I hope he died in pain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…