kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita
katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya afya nchini Iran Serikali imetangaza Mishahara mipya kwa Wahudumu sekta ya afya kuanzia Madaktari, Manesi na wengine wote kada hiyo watapata ongezeko la mshahara kuanzia mwezi huu wa April sambamba na posho huku wale Waajiriwa wapya zaidi ya 500,000 pia wata faidika na ongezeko hili"
je nu upi uhalisia wa chapisho hili?