Inawezekana kuna Wafanyakazi wa Tigo wanatoa taarifa za mteja kwa matapeli, nimepigiwa simu na MATAPELI zaidi ya mara 10 halafu wanakutajia kiwango chako kilekile kilichokuwepo kwenye akaunti...
Habari wa ndugu ....
Iko hivi ...
Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop...
Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za...
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu...
Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu...
Kwa Viongozi na Mamlaka Husika,
Ujumbe huu ninauandika kwa masikitiko makubwa na kwa niaba ya jamii ya waathirika wa eneo la Misugusugu, Kibaha, ukiwa na lengo la kuomba msaada wa haraka kutoka...
Mji wa DSM unazidi kukua, na usafiri wa umma(Rapid Bus Transport) bado ni ndoto.
Ongezeko kubwa la Bodaboda na Bajaja unajitahidi kuziba tatio la usafiri wa haraka hasa foleni jijini.
Lakini...
Nakumbuka mwezi Julai mwaka huu, kiongozi mmoja pamoja na mtumishi wa kiwanda maarufu cha saruji jijini Dar es Salaam walijitokeza kuzungumzia kupanda kwa bei ya saruji. Wakati huo, mzalishaji...
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.
Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kwa maoni yangu tu ni kwamba, Kwa vile Singida na Tabora zinapakana Mama yangu huyu (hajanizaa ila ninamheshimu sana) Angelina Mabula angetolewa Nyumbani Kwao Tabora...
Kwa zaidi ya miaka 14 sasa, changamoto zinazowakabili wauguzi na wakunga nchini hazijapatiwa ufumbuzi wa kudumu licha ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanakada hao.
Kwa hali ilivyo sasa...
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye...
Wakuu, je, ni halali wanafunzi wa Darasa la Sita na la Saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo, licha ya Serikali kuwa imetangaza mapumziko, hususan kutokana na tahadhari ya mvua za El...
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya kila siku inayoinufaisha jamii ya Tanzania na kufichua maovu yanayoboresha maslahi ya wazalendo.
Nina hoja juu ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (Aga Khan University...
Habari JamiiForums,
Naomba mnisaidie kufikisha swali langu kwa wahusika. Kwa nini kuna baadhi ya dawa ambazo hazipo kwenye bima ya afya? Pia, hali itakuwaje litakapokuja suala la Bima ya Afya kwa...
Kwa muda mrefu, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa Wizara ya Afya na wanasiasa kuhusu madaktari wanaotoka katika vituo vya TAMISEMI kwenda kusoma shahada za uzamili (Master’s degree)...
IKULU, DODOMA, TANZANIA.
Mheshimiwa Rais,
Ninasimama mbele yako kwa masikitiko makubwa na moyo mzito kuwasilisha kwako barua hii ya wazi, ninachukua hatua hii kufuatia hali ya taharuki na tishio...
Habari wanabodi,
Vitendo vya utovu mkubwa wa nidhamu vilivyooneshwa na baadhi ya watoto waliohitimu Form Four na kusambaa mitandaoni hivi karibuni vinaibua swali muhimu kuhusu hali ya nidhamu...
Mdau kutoka kata ya Nkwenda, wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera, amesema wananchi wa eneo hilo wanahitaji maendeleo, akieleza kuwa wamechoshwa na hali ya kukosekana kwa huduma muhimu za kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.