Wakuu,
Kuna masuala ya kiuchumi yanayopaswa kujadiliwa kwa kina kabla ya Serikali kuamua kuongeza tozo nyingine kwa wananchi. Kauli ya Waziri wa Ujenzi, Eng. Massanja Kadogosa, kuhusu tozo za...
Habari Wizara ya Ardhi nina mdau wangu alinunua ardhi TAUSI Dodoma jiji yapata mwaka sasa....
Baada ya manunuzi ishu ikahamia kwenye mfumo wa e-ardhi ili kuprocess hatimiliki ya ardhi.
Kila...
Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato.
Ni kweli watu...
Habari za kazi. Nina ombi kwa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT).
Kwa heshima na unyenyekevu, tunaomba Baraza lizingatie uwezekano wa kufanya mtihani wa Pre-Internship kwa kundi la pili (Batch...
Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia...
Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida...
Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata...
Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje...
Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu.
Tunadai stahiki za...
Je, ni sahihi mfanyabiashara kulipia kodi ya bango lililowekwa juu ya fremu yake ya biashara, wakati tayari analipa kodi ya pango, leseni ya biashara na kodi nyingine zinazohusika kupitia TRA...
Nimekuwa mtumishi wa Serikali katika Idara ya Afya kwa zaidi ya miaka minne.
Sina imani kubwa na vyama vya wafanyakazi kutokana na uzoefu wangu wa kuona watumishi wengi wakikumbana na changamoto...
Wakuu,
Ukienda kuomba mkopo benki, na nyumba au kiwanja ndio kikawa kama dhamana wathamini hufika na kufanya tathmini ya nyumba au kiwanja chako, kwa kuangalia eneo ulipo, thamani ya ardhi katika...
“Tume ya Jaji Lila ni ukuta unaojengwa kwenye msingi ulioandaliwa na Tume ya awali ya kutambua vyanzo vya vurugu za Oktoba 29, 2025, iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande. Kama...
Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim.
CASE...
Kwa nyakati tofauti, Serikali imekuwa ikionya kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta katika maeneo ya makazi kwa lengo la kulinda usalama wa wananchi.
Kutokana na uchunguzi niliofanya, nimebaini jambo...
KWA: MHESHIMIWA MKUU WA MKOA WA MBEYA
YAH: OMBI LA KUTAFUTIWA SULUHISHO LA MGOGORO WA BAJAJI KWENYE BARABARA YA TANZAM
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,
Kwa heshima kubwa, tunaomba kuwasilisha tena...
Naomba kuibua suala linalohusu hali ya Hosteli za Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambalo linaibua maswali kuhusu ubora wa mazingira ya makazi yanayotolewa kwa Wanafunzi.
Inasikitisha...
Hii hali imekuwa ikijitokeza mara kadhaa, kuanzia dereva hadi kondakta wamekua na utamaduni mbovu sana kwa kuonyesha namna walivyokosa maadili kwa kutumia lugha za matusi na maneno makali kwenye...
Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi, ambako mitaa mingi imekaa takribani mwezi mzima bila maji. Hata mgao uliokuwepo umetoweka! Baadhi ya wananchi wanalazimika...
Kwa heshima, tunaomba Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) lizingatie kufanya mtihani wa Pre-Internship kwa batch ya pili mwezi Desemba 2026 au Januari 2027, badala ya kusubiri hadi Aprili 2027...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.