Naomba Wadau wanielekeze namna ya kuasili mtoto, kwani madaktari wamenithibitishia kuwa siwezi kumpa Mwanamke ujauzito baada ya kugundua korodani zangu hazina uwezo wa kuzalisha mbegu kabisa...
Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita, sasa ukitembea mitaa ya Masaki, kila kona unakutana na mitambo ya ujenzi...
Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo.
Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta &...
Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji.
Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
Naomba TCRA wafuatilie % za kamisheni ya miamala kwa mawakala wa kutoa/kutuma fedha kwa mtandao wa AIRTEL ni ndogo sana ukilinganish na mitandao mingine
Picha 3 za mwanzo ni airtel money...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na...
Naomba kuuliza Wizara ya Elimu na TCU, imekaaje kuhusu kutofungwa kwa vyuo wakati wa El Niño, wakati wanafunzi wa shule za msingi hadi kidato cha sita wamefungiwa shule?
Naona hili linaweza kuwa...
Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi.
Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama...
Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo.
Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu...
Habari za muda huu.
Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa...
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya...
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.
Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi...
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue...
Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi...
Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri...
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho...
THE VICIOUS CYCLE OF YOUTH UNEMPLOYABILITY.
Naomba leo nizungumze na mamlaka ya Serikali Ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma chini ya Waziri Mhe. Ridhiwani Kikwete, pia Sekretarieti Ya Ajira...
Nina hoja kuhusu sekta ya madini ya kati (medium-scale mining), kuna malalamiko kwamba baadhi ya wageni wanafanya kazi migodini wakitajwa kama “experts”, lakini kuna maswali kuhusu qualifications...
Wana JF, kumekuwa na kipeperushi hiki kinasambaa mitandaoni na kwenye magazeti (kama inavyoonekana hapo chini) kikionesha tangazo la mnada wa hadhara wa mali za kampuni kongwe ya uchapishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.