HOJA Threads

Anonymous
HOJA 
Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Anonymous
HOJA 
Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo...
0 Reactions
2 Replies
96 Views
Anonymous
HOJA 
Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na...
17 Reactions
72 Replies
1K Views
Anonymous
HOJA 
Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu...
2 Reactions
4 Replies
116 Views
Mada yahusika. Huyu mtu uliyemuweka hana guts Wala haiba ya kuwatetea wakulima wadogo wa Nchi hii. 1.Mbegu fake Kila sehemu watu wa Wizara wanashirikiana na mawakala. 2.Mbolea fake na...
6 Reactions
22 Replies
504 Views
Anonymous
HOJA 
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
32 Reactions
115 Replies
3K Views
Anonymous
HOJA 
Katika Mtaa wa Masaki, Kata ya Toangoma, Temeke – Dar es Salaam, kunaendelea zoezi la urasimishaji wa ardhi kwa viwanja ambavyo havijapimwa (Unsurveyed Plots). Zoezi hili ni muhimu kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Anonymous
HOJA 
Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa...
2 Reactions
4 Replies
359 Views
Anonymous
HOJA 
Sasa langu linahusu makampuni ya maji, nitayataja kwa majina hapa, lengo wafikishiwe wadau nao wachunguze. Hili sijui ni kwa sisi tu wenye pua kali, ila Brand za maji za Uhai, Afya, Hill na GSM...
15 Reactions
51 Replies
904 Views
Anonymous
HOJA 
Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa...
2 Reactions
2 Replies
146 Views
Anonymous
HOJA 
Niliposikia uamuzi na msimamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuhusu wageni, wakiwemo Watanzania na raia wengine wa nchi za Afrika, binafsi niliuelewa kwa mtazamo wa mstakabali wa maisha yao...
2 Reactions
1 Replies
66 Views
Anonymous
HOJA 
Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata...
1 Reactions
3 Replies
59 Views
Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous
HOJA 
Nina kero kuhusu mchakato wa ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira, nilifanya usaili wa mahojiano kwenye Kada ya Ualimu mwaka 2025 na 2026, nilifaulu, baada ya kufika ofisini kwao na kujiridhisha...
1 Reactions
5 Replies
201 Views
Anonymous
HOJA 
Tuulizie kwenye mamlaka zinazohusika, kwa nini kadiri viwanda vinavyozidi kuongezeka, hasa vya vifaa vya ujenzi, gharama za bidhaa zinazidi kupanda? Viwanda vya saruji kwa sasa vimeongezeka...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
HOJA 
Habari zenu Wana-Jukwaa, Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kazi...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Anonymous
HOJA 
Mimi ni mzazi mwenye mwanafunzi anayesoma katika Shule ya Sekondari Likamba, iliyopo Arusha. Kero yangu ni kuhusu huduma ya chakula wanayopewa wanafunzi wa bweni. Sisi wazazi tunalipa Shilingi...
1 Reactions
6 Replies
69 Views
Anonymous
HOJA 
Nina hoja kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kuhusu riba kubwa sana, ambapo pia makato hufanyika kabla ya mkopo kutolewa. Hivyo, hata malengo ya mkopo hayafikiwi; kwa mfano, mtu akikopa Sh 100,000...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Anonymous
HOJA 
Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo...
0 Reactions
9 Replies
236 Views
Back
Top Bottom