Akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala aliowateua na kuwabadilishia vituo vya kazi Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan...
Nahoji, kuchelewa kwa mchakato wa usaili wa nafasi za ajira za Utumishi wa Umma husababishwa na nini hasa?
Inawezekana mtu akatuma maombi ya kazi leo, tarehe 27/07/2026, lakini majibu ya kuitwa...
Sijui ndo uafrika au ujinga ila mambo yanazidi kuwa oveziiii. Barabarani hakuna utaratibu wa kueleweka katika kuendesha vyombo vya moto.
Hawa vijana waliojizira hawana wanachojali wao...
Wakuu
Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON...
Dar es Salaam ni jiji linalokua kwa kasi. Kila siku watu wanakuja kutafuta fursa, kujenga maisha na kuwekeza. Lakini nyuma ya ukuaji huo, kuna mabadiliko yanayoanza kuibua maswali mazito kuhusu...
Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui...
Huku Tanzania ikiendelea kujiandaa kwa ajili ya mashindano makubwa ya AFCON 2027, muundo wa Uwanja wa Arusha Stadium umeibua mjadala mzito miongoni mwa wadau na mashabiki wa soka nchini. Sababu...
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha...
Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi...
Hongereni sana TANESCO, tumeshuhudia kukamilika kwa mradi huu mkubwa na hakika mtambo umewashwa leo, mmetuambia tayari mmeunganisha na gridi ya Taifa. Nina dukuduku hapa
Gridi ya Taifa ni moja...
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1.
TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini...
Nimeona Wizara ya Afya imeanzisha programu za Higher Diploma (NTA Level 7) katika maeneo ya Anaesthesia kupitia MWACHAS, na Midwifery kupitia MUHAS. Hili ni jambo zuri na hatua kubwa katika...
Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara...
Ushauri uliotolewa kwamba bandari kavu ziondolewe katikati ya Dar es Salaam na shughuli za kuhifadhi pamoja na kusambaza mizigo zielekezwe zaidi katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani...
Wakuu!
Bila shaka msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC umetoa funzo na mwelekeo wa namna ya kuboresha kanuni za mashindano kuelekea msimu wa 2026/27 ili kuongeza nidhamu, ushindani na hadhi ya...
Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu.
Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo...
Nina vijana wangu sita wanaosoma katika Chuo cha Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wameathirika baada ya kufutiwa matokeo yao na kuambiwa kuwa walighushi matokeo.
Kwa maelezo tuliyoyapata, si watoto...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
Wananchi wanaoishi mtaa wa Kidosho Mikocheni jijini Dar es salaam wanawalalamikia baadhi ya watu wanaotumia daraja linalo pitisha maji taka mpaka baharini kama sehemu ya kutupa takataka, hali...
Maoni
Habari za leo wadau,
Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu
1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.