Natumia Mtandao wa Vodacom, leo asubuhi nilienda kutoa fedha Saa 4:00, ilipofika Saa 7:00 hivi, nilipigiwa simu na mtu aliyekuwa akitumia namba binafsi alijitambulisha kuwa ni mhudumu wa Vodacom...
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi leo hamna safari ya Mbagala hadi Morocco...
Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy).
Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa...
Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa
Kuna...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watumishi wengi wa kada ya afya, hususan katika kada za Clinical Officers (C.O), Nursing na kada nyingine za afya, kuamua kubadili taaluma zao na kusomea fani tofauti...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini...
Wana-JamiiForums,
Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya...
Habari wakuu, majuzi nikiwa naperuzi insta nilikutana na tangazo la dalali la apartment ya AirBnB. Nilikuwa tayari nimeshapita, lakini nikastuka baada ya kugundua kuwa jengo lile ni la mradi wa...
Tafadhali husika na kichwa cha uzi huu.
NSSF Wamekuja na mbinu mpya zifuatazo ili kuhakikisha wanufaika hawapati hela zao:
Hawajatangaza mahali popote kwamba fao la Kujitoa limerejeshwa licha ya...
SERIKALI INA MPANGO GANI WA KUMSAIDIA MKULIMA WA MAHINDI?
Tanzania kwa sasa ina uzalishaji mkubwa wa mahindi, lakini NFRA imetangaza kununua mahindi kwa Sh 450 kwa kilo, wakati mwaka jana (2025)...
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania.
Kuna hali inayodaiwa...
Kumeibuka mjadala wenye utata mitandaoni kuhusu suala la posho kwa madaktari, ambapo wananchi pamoja na watumishi wa kada mbalimbali ndani ya sekta ya afya wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu...
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea...
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya...
Tunaomba mtupazie sauti sisi mabaharia wa meli za Marekani, baada ya Marekani kuweka baadhi ya nchi kwenye orodha ya nchi zilizowekewa vikwazo vya kuingia Marekani (restricted countries)...
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi...
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate...
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.