Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?
Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM
NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI
WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE...
Habari wakuu
Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police,
Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo...
Agosti 25, 2026, taarifa ilisambaa kupitia mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Dkt. Emmanuel John Nchimbi amejiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku akitangaza pia...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA MAOMBI YA AJIRA TAKUKURU
Ndugu zangu,
Mimi ni mmoja wa waombaji wa nafasi za ajira zilizotangazwa na TAKUKURU mwaka huu. Baada ya kutuma maombi, baadhi yetu...
Kumekuwa na wimbi la taarifa binafsi za wananchi, zikiwemo majina, namba za simu na taarifa za wenza na wanafamilia, kusambaa kupitia karatasi zinazotumika kufungashia chipsi na vitafunwa...
Salama wanajamvii.
Sasa leo tutaje barabara zenye kero
Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road...
Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam.
Kwa mfano, eneo la...
Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza...
Mdau wa uchimbaji mdogo katika Kijiji cha Butobela, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita Vijijini, Mkoa wa Geita. Mgodi huo uligunduliwa na wachimbaji wadogo, lakini baada ya kugunduliwa, watu wenye...
Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O.
Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna...
Kwenye tangazo la ajira za utumishi wameweka kigezo cha ATLEAST level 2 Vocation Training.
Ukiweka cheti cha level 3 Vocational training wanakusoma upo over qualified wakati tangazo la msingi...
Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi...
Suala la Kanzidata kwenye mfumo wa ajira Tanzania ni mtambuka. Serikali inapaswa kueleza uhaba wa nafasi kwenye taasisi za umma unatokana na nini, ilhali zinatoa nafasi za ajira za mkataba kwa...
Kero yangu ni kuona Askari wa Jeshi la Zimamoto wakifanya kazi za kuuza na ku-service mitungi ya kuzima moto, badala ya kubaki kwenye jukumu lao la ukaguzi. Hali hii inatuathiri sisi wenye vibali...
Hiki kivuko kinauwa watu kila wakati wa mvua zinazokuja na kunakuwa hakuna mawasiliano na upande wa pili na ndio upande ambao una mahitaji yote ya kibinadamu na kuna zaidi ya watu 6000. Serikali...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa...
Kuna jambo huwa linanishangaza sana kuhusu hili jina la QNET.
kila mwaka tunasikia vijana kutapeliwa kwa kuahidiwa nafasi za kazi lakini mwisho wa siku wanaishia kutoa fedha na kuachwa bila kile...
Habari za wakati huu wakuu,
Siku hizi kila kona stori ni kuifanya Dar iwe safi tena. Tunaona wanasiasa na watendaji wakiwa mtaani na mifagio kwa mbwembwe nyingi, huku wakitangaza faini za hadi TZS...
Sisi Askari Wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana, hivi karibuni kuna Viongozi walisema sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!
Wanasema eti tulipostaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.