Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.