azam

  1. Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  2. ALL THE BEST NDUGU ZANGU AZAM

    Leo ndo siku ile ya kuondoa ile naniliu.....
  3. Azam kashakubali kichapo. Haina mjadala hiyo. Anacheza na Team ya Taifa. Ahadi yangu

    Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto. Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
  4. FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAzam FC πŸ“† 02.11.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  5. Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

    Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea". Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
  6. Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  7. Azam TV wana fursa kwenye behewa za SGR kuliko kila siku watu kuangalia ile Royal Tour kila siku

    Naona azam TV wana fursa pale kwenye behewa za sgr kuliko kila siku watu kuangalia ile royal tour kila siku ambayo imekaa kisiasa zaidi zile behewa zingechapwa azam tv tuu shughuri iishe.
  8. M

    Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  9. Azam pesa kunashida kwenye kutoa pesa kupitia mawakala

    Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa...
  10. AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

    Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC. Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
  11. Azam tv kuweni serious mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno

    Naangalia mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno naona Azam tvna hawa washirika wao kwenye kurusha wanatumia tecno. Azam TV inabidi mjitafakari
  12. Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala...
  13. SI KWELI Yanga yatuma barua Azam Media

    Nimeona taarifa inayosema klabu ya Yanga imetuma barua Azam Media ili kuomba kubadilishwa kwa mtangazaji aliyetumika kumuhoji Gamondi siku ya mechi ya tarehe 29.09.2024 dhidi ya KMC pale Azam complex. Je taarifa hii ina ukweli wowote..!?
  14. FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

    Match Day Mashujaa Fc πŸ†š Azam Fc πŸ† #NBCPremierLeague πŸ•“ Saa 10:15 Jioni πŸ—“οΈ 29.09.2024 🏟️ Lake Tanganyika Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu🍦🦍 Mashujaa ndio sisi. KIKOSI CHETU KINACHOANZA. KIKOSI CHAO KINACHOANZA LEO. Updates... Dakika 10' 0-0 HALFTIME...
  15. FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šKMC FC πŸ“† 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  16. Yanga imeifunga Azam mara nyingi ndani ya miaka 5 kuliko Simba kuifunga Azam

    Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau. Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
  17. Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

    Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line Azam itabaki team ndogo Mwaka Jana...
  18. Azam kufungua kesi,TFF kuipokonya Sumba magoli mawili ya offside na alama tatu

    Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam walistahili ushindi lakini kutokana na ubovu wa muamuzi, ambaye siku zote amekuwa na maamuzi mabovu...
  19. L

    Mambo 12 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Aman

    1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao 2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa akiwa bado Ana energy ya kutosha na madefender wa Azam bado walikuwa wanamhofia? 3. Shomari Kapombe...
  20. TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…