Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea.
Tunaomba TARURA, waje waiangalie na...