dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  2. M

    Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

    Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
  3. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia. 2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka. 3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza...
  4. S

    Kama Raisi Samia alipongezwa sana shilingi kupanda thamani dhidi ya dola, hatupaswi kumkosoa sasa shilingi inapoporomoka dhidi ya dola?

    Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu. Juzi hapa thamani ya shilingi dhidi ya dola ilipanda ghafla, toka Shs 2700 kwa dola hadi Shs 2200 kwa dola. Watu...
  5. Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  6. G

    Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  7. L

    Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa . Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
  8. Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  9. Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  10. Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  11. Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
  12. T

    Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi

    Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania. Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
  13. Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  14. Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  15. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
  16. Kiungo wa boli Awesu aanza kikosi cha Simba dhidi ya CS Sfaxien

    Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua. Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni Che Malone, Zimbwe, Kapombe na Hamza, Camara anasimama langoni.
  17. Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  18. Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  19. K

    Malalamiko yeyote dhidi ya kiongozi yeyote yafanyiwe uchunguzi kisha yawekwe wazi

    MALALAMIKO YEYOTE DHIDI YA KIONGOZI YEYOTE YAFANYIWE UCHUNGUZI KISHA YAWEKWE WAZI Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba nikaanza: Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, akiwa katika kongamano la kumuenzi hayati Abeid Amani...
  20. Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…