halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  2. K

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuna mazingira tata, upandishwaji vyeo unafanyika kwa kujuana

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao. Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
  3. K

    KERO Halmashauri ya Kilwa jitahidini mlipe walimu nauli ya likizo kwa wakati

    Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
  4. Pre GE2025 Iringa: Watendaji ngazi ya halmashauri wapewa mafunzo, uboreshaji wa daftari la kudumu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
  5. KERO Halmashauri ya Bunda mjitafakari, msifanye kazi kwa mazoea

    Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy), nikaambiwa wako kikaoni, mbali na kusubiri for 5 hours. Baadaye nikaambiwa 'Tunaomba tu urudi kesho', leo...
  6. DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

    Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC. Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa Halmashauri ulianzisha mradi wa viwanja vipya na kuhamasisha sana Wananchi wajitokeze kununua viwanja...
  7. Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, inauza viwanja

    Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
  8. LGE2024 Mkurugenzi, Dionis Myinga afafanua ushindi wa Wilfred Ritte (CHADEMA) licha ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti wa Kijiji

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa kijiji cha Usari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial...
  9. Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

    Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Utaeleza mambo yafuatayo: (1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri. (2) Utaeleza jinsi ya...
  10. DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  11. A

    DOKEZO Arusha: Vikundi havijapata mkopo wa Halmashauri wa 10% mpaka sasa, hatujui sababu ni nini

    Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
  12. Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  13. LGE2024 Halmashauri ya Mji Bariadi yautaka Umma kupuuza taarifa za upotoshaji za uwepo wa kura feki

    Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Bariadi Ndugu. Adrian Jungu anapenda...
  14. A

    DOKEZO Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Momba achunguzwe tabia zake kwasababu anaumiza Walimu kwa ukatili wake

    Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila kufuata utaratibu na malipo ya uhamisho imekuwa ni shida sana kulipwa. 2. Ari ya walimu kufanya kazi...
  15. Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  16. J

    DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

    TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu. Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye hii Halmashauri, kila ninayeambiwa nimfuate ananipiga chenga na kunipa majibu ya kijinga yasiyo na...
  17. K

    KERO Idara ya Utumishi - Halmashauri ya Nachingwea inatuzungusha kutupa Barua za Ajira sisi Watumishi wapya

    Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini. Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
  18. TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  19. BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  20. LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

    Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC =============== "DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…