kmc

KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. LIVE Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

    Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya? Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
  2. Kumekucha: Wachezaji waandamizi wa KMC FC wanalalamika jana Kutokupangwa na badala yake 85% kupangwa wale Wakaa benchi Wazoefu

    Akina GENTAMYCINE tukisema JF kuwa Timu inayoshinda kwa Uwezo wake wenyewe wa Uwanjani ni Simba SC mnakataa.
  3. Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

    Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
  4. KMC atake anafungwa asitake anafungwa - Yanga akipoteza point nipigwe Ban Week

    Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi. Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
  5. Sisi KMC leo tunachapika na Yanga kinyama. Ni furaha kwetu kufungwa na Team kubwa kama hii

    Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv. Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
  6. Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  7. FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  8. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  9. Tetesi: Uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho, timu zinazoutumia zitafute viwanja vingine

    Za ndani kabisa ni kwamba agizo imetolewa uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho kwahiyo timu zinazotumia huo uwanja zitafute viwanja vingine vya kutumia. Soma Pia: Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025
  10. Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  11. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DayπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šFountain Gate πŸ“† 29.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  12. Coastal Union yashusha straika mpya 'Bagayoko' kutoka Mali, kuanza na KMC

    Klabu ya Coastal Union imemtambulisha mshambuliaji mpya raia wa Mali, Amara Bagayoko. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kama mchezaji huru mara ya mwisho akiichezea Asko Kara msimu wa 2023/24 katika Ligi Kuu ya Togo akifunga mabao 19. Tayari nyota huyo amewasili nchini na...
  13. FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  14. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šMashujaa FC πŸ“† 19.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  15. Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  16. G

    Je, kesho Tabora itamfukuzisha kazi kocha wa KMC?

    Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao. Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
  17. Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  18. Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi? Sisi tumemchukua kocha wenu yeye...
  19. Tetesi: Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin amejiuzulu kuifundisha KMC

    Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin inadaiwa kwamba amejiuzulu kuifundisha KMC kuanzia leo novemba 11. Mpaka sasa KMC ambao ndio wamiliki wa Kocha huyo hawajasema chochote lakini taarifa za kujiuzulu kwake zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kabla ya kutua KMC Moallin alikuwa...
  20. Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…