Asalaam Aleikum,
Ukweli ni kwamba wengi wetu siku hizi tulitokea kuvipenda sana vinywaji hivi vya energy drinks. Viko vingi na kila mtu ana brand yake anayeipenda, mimi binafsi Azam Energy ilinichanganya sana, But before I used to love Red Bull nadhani hata hizi local brand hazikuwepo pia...