Wakuu naomba mawazo yenu.
Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu.
Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc
Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...