Ulimhola!
Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.
Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.
Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...