moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tema Cheche aweka wazi mahari ya ni milioni mia moja

    Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90. Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
  2. JamiiForums Tanzania PASSWORD moja una login account zote za META

    META password moja kwa account zote. Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja . Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu. Again; Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
  3. S

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

    Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!! Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mwajiriwa ambaye Mhasibu amekosea malipo, mjibu boss wako kwa sentensi moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

  6. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Samia na Ndejembi lao moja

    Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa. Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe. Sijui Ndejembi nimuite nani na nini...
  7. JamiiForums Tanzania Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Jamii Forums haiwezi kutengeneza Bidhaa (merchandise) zake zikaitwa jina moja tu Jamii

    Nimetest hii AI yangu ya kichovu wamba njooni mtie nyama πŸ˜ƒ
  9. N

    JamiiForums Tanzania Aliyefanya jaribio la kukua, usimsamehe hata siku moja

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida. Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai), usimsamehe hata siku moja. Akijaa katika mfumo, mpe zawadi yake, kama sio yeye personally, basi mpe...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imetufundisha Nini.? | Kwa Nini Haki, Demokrasia na Uchaguzi Havipaswi Kuwa Kapu Moja na Mwenye Maslahi ya Kisiasa

    Leo nimefuatilia kesi ya Lissu kuanzia Alfajiri mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

    Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  13. JamiiForums Tanzania Maulid ya Mfungo Sita Mnazi Mmoja Yatimiza Karne Moja

    https://youtu.be/RWa5mN3dgSI?si=ft38Wy6v-jqDon9N MAULID YA MAFUNGO SITA MNAZI MMOJA YATIMIZA MIAKA 100 KAMATI YA MAULID YA DAR ES SALAAM 1926 Baada kuunda African Association, mwaka 1933 Kleist na baadhi ya rafiki zake wengine walianzisha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna hata nyanya moja itatupwa πŸ… πŸ… πŸ…!

    Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna πŸ… paste!,lakini pia tunaweza kupata πŸ… powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!....... Hapa suala ni kuzingatia usafi tu, Ongeza Ginger,garlic kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  16. JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  17. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

    ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada, swali la milioni moja hili hapa!πŸ˜„

    Kwanini baadhi yenu mkisikia β€œbaby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini majibu yanakuwa: Β«β€œKwa nini unataka Control Number?” na matusi mazito juu! β€œHiyo hela nitapanga...
  19. JamiiForums Tanzania MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

    Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo...
  20. JamiiForums Tanzania Swali la msingi: Sheria ni Moja kwa wote?

    Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika. Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…