Habari za jumamosi jamii forum,
Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi fulani.
Nije moja kwa moja kwenye mada ambapo mara nyingi napenda kuwatia moyo wanaume wenzangu haswa...