mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  2. Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  3. Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!! Haya pokea. Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
  4. Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Anafunguka mwanaharakati..... "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria Natoa...
  5. Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

    Mwanaume kamati hii... Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi. Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki. Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
  6. Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

    Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
  7. M

    Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  8. Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  9. Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  10. Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  11. R

    Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
  12. W

    Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

    Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times. Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
  13. Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

    Wavulana wengi wanafikiri eti..... Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣 Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜 Mwanaume simama kwenye nafasi yako na hakuna nyumba itayumba bladi hell...☹️
  14. C

    We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

    Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule za ada ya juu au ufurahisha mke kwa kumpa 100k za saluni kila wiki au kumpeleka holidays kila wikend. Jitahidi kua modorate katika bajeti zako...
  15. Mwanaume ukishajijua una kibamia, fanya haya yafuatayo kila kitu kitaenda sawa

    Utakuta baadhi ya wanaume wanahangaika kutafuta tiba, kufanya mazoezi ili kuwa na maumbile makubwa. Na bado hawafikii lengo. Sasa wewe kama una kibamia; kwanza: mpende mkeo/mpenzi wako kwa dhati na hakikisha nayeye anakupenda. Kuwa muungwana tu haishushi uanaume wako . Pili: jitahidi...
  16. Mwanaume huna msaada,ishi kwa imani

    Hizi ni maada zimejadiliwa sana , ni kwamba narudia tu ili kuzidi kuweka mambo barazani ili kuwakumbusha wanaume wenzangu kuwa wanaume tumebeba majina na maana halisi ya maisha,hata katika visa kibao tunavyosoma ni kwamba mwanaume ndiye aliyebeba maana nzima ya kitu kinaitwa Dunia (ulimwengu)...
  17. Mwanaume hauna wa kumlaumu zaidi yako: Jiangalie unachooneshwa mbaya wako ni wewe.

    Wanawake hawana tatizo lolote, tatizo ni sisi wanaume tutawalaumu bure ila mwisho wa yote tatizo ni sisi. Mwanamke anaishi kama kioo atakuonesha tu ujinga wako ulivyo utake usitake kwa kujua au kutojua. Amekuja kukusaidia wewe (Msaidizi) Kwa maana nyingine Mwanaume ndiye mwenye kazi haswaa...
  18. Gharama za kuzaliwa Mwanaume.

    Ehee Mungu tusaidie wanaume kwa kutupa afya njema tupambanie ndoto pamoja na familia zetu
  19. M

    Mwanaume usiishi kwa kutegemea eti kuna watu mbele watakusaidia

    LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️ Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba ila nani anafanya hivyo? Na ukiangalia yuko tu kijiweni na hana ulemavu. Mara kadhaa unaweza sikia...
  20. Kuzaliwa mwanaume ni hatia

    Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe. Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…