mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Wewe ni mzazi usisahau jukumu lako la kumlea na kumlinda mwanao

    MHADHARA (106)✍️ Hata kama una majukumu... 1. Mlinde mwanao katika kipindi cha mvua kali. Kamwe asicheze kwenye mitalo ya maji, mabwawa, mito, n.k. 2. Mlinde mwanao dhidi ya ukatili wa kijinsia. Mkague mara kwa mara na umpe elimu. 3. Mlinde mwanao dhidi ya makundi mabaya ya wavuta bangi, wezi...
  2. Kijana mwenye umri wa miaka 25 amuua mama yake mzazi kwa kumpiga mwichi kichwani

    Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina? ==== Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa...
  3. Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
  4. L

    TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Ndugu zangu watanzania, Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka. Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
  5. Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  6. Grimes, mzazi mwenza wa Elon Musk alalamika Elon kutelekeza watoto, adai pesa za matibabu X!

    Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu. Anasema kama Elon hataki kuongea...
  7. Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  8. G

    Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  9. Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

    Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
  10. Inakuaje mtoto anakuwa na akili kumzidi mzazi wake?

    Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana . Mtoto unampeleka polini analala nje . Mvua na jua yote yake Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi. Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda shule. Na mwisho anatokea msamalia Mwema na anafanikiwa kupata mfadhali wa kumsomesha na kila kitu...
  11. B

    Kuna siri gani ya mafanikio juu ya mtoto alielelewa na mzazi mmoja?

    Habari wana JF, Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara wakubwa, wana muziki kama vile Diamond na wengine wengi wamepata mafanikio lakini wakitoa historia yao...
  12. Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

    Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe? Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
  13. Z

    Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  14. Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
  15. T

    Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  16. Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

    Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo. Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the name of school fees. ( Nilikuwaga fala Mie.. Nizomeeni Kwa ufala nilio kuwaga nao) Wewe...
  17. Kijana mama yako mzazi unamwita majina ya hovyo mara bimdashi, bimkubwa, lakini mama asiye wako unamwita mama, tena kwa heshima

    Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo. Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa. Hata kama njaa kali this is too much.
  18. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  19. F

    Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

    Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi. Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
  20. Kama wewe ni mzazi usiache kupitia huu uzi

    KWA MUJIBU WA WANASAIKILOJIA, KUNA AINA NNE ZA AKILI 1) Intelligence Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4) Adversity Quotient (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ) Hii ni kipimo cha kiwango cha ufahamu wako. IQ inahitajika kutatua masuala ya hisabati, kukariri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…