Wakuu vipi,
Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple.
Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit.
Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...