Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,
Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,
Ikatokea nyoka mmoja mkubwa...