polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

    Wakuu, Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana. Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao. Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa...
  2. Humphrey Polepole andaa Suti

    Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini, Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka Britanicca
  3. Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  4. Ni Humphrey Polepole Na Tashtwiti Yangu...

    Wandugu Habarini... Nimepata Tashtwiti Ya Kuandika Leo Juu Ya Humphrey Polepole Baada Ya Kutafakari Kwa Kina. Ni Wazi Hakuna Mpenzi Wa Siasa Za Tanzania Asiyemjua Huyu Jamaa. Naweza Sema Kwa Namna Moja Au Nyingine Alikua Nyota Ya Mchezo Sana Katika Kubadilisha Siasa Za Nchi Hii Kipindi Cha...
  5. K

    Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  6. D

    Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

    Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao. Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
  7. Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  8. B

    Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

    Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora. Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
  9. Tetesi: Nchimbi na Makalla Jiandaeni hamtakiwi CCM, Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro na Musiba kuwa mkuu wa mkoa wa Mara

    Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi. Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na...
  10. K

    Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

    Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM! 1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu 2. Ngorongoro-kuhamishwa 3. Simanjiro kudai maji
  11. Comassava Comassavaaa, Ibrahim Mungu anakuona

    Ibrahim Mungu anakuona Surrath kurjuan inakuhusuuuu
  12. Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  13. J

    Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

    Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!! Maisha...
  14. J

    Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025 Ahsanteni Sana πŸ˜„πŸ˜„
  15. Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  17. Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  18. M

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika. Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni Akasema kuwa ukiondoa...
  19. Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
  20. Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…