sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kisa hiki kina funzo kubwa sana hasa jinsi waafrika tunavyowaza

    Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli? Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii...
  2. Mungu hawasaidie sana watoto wa kiume tamaa inawamaliza

    Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu. Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
  3. Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  4. Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  5. FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
  6. Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

    Eddy Brian Jimmy Chris Junior
  7. Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

    Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
  8. B

    Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

    Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam. Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee" Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama...
  9. RC wa DSM Chalamila ajiuzuru haraka sana hio nafasi ya ukuu wa mkoa wa DSM

    Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,. Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
  10. Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

    Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana?? Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
  11. Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

    Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
  12. Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  13. Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  14. Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

    Nimemsikia akisema No Reform,No Election, Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima. Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi? Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
  15. W

    Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  16. J

    Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

    ..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
  17. Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

    Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii Wakaita jina lake...
  18. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  19. Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana. Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers. Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
  20. K

    Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

    Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind. 1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…