Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi