wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wadau, naombeni mawazo yenu! Maana nahisi kuvurugwa...

    Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa. Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wadau huku kwetu Tarime tukiamka asubuhi tunakula ugali wa udaga na supu ya utumbo au nyama

    Sijaona mtu akinywa chai na maandazi asubuhi Niwatakie Jumapili njema
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Temeke Mwisho tumekaa kwenye eneo hili kwa miaka 15, leo tunaambiwa tuondoke kuna mgogoro

    Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza. Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Mabango ya “TUMEWASIKILIZA” Barabarani

    Nimeona matangazo yenye ujumbe “TUMEWASIKILIZA” yaliyo barabarani, jambo lililonifanya nijiulize ujumbe huu unahusu nini na umetolewa na nani? Wadau, kuna yeyote anayefahamu maana ya mabango haya au anayejua walioyaweka? Tuelimishane, huenda kuna wenye taarifa zaidi. 👀🤔
  6. JamiiForums Tanzania Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

    Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅 Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣 Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
  7. JamiiForums Tanzania Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  8. JamiiForums Tanzania SERIKALI YA CCM ISKAE KIMYA WADAU TUNAKUWA NA WASIWASI

    CHADEMA imeendelea kutoa matamko kwenye mikutano kuwa mmeuza sehemu za nchi na kuwapa Waarabu . Je, ni mbali na mkataba halali wa bandari? Kama Heche anapotosha basi serikali ituweke wazi wananchi wake. Tunaomba kila kinachosemwa wahusika wajibu kwa hoja. Tujue kweli au uwongo ni upi Asante
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufunga biashara yangu ya BAR ili nipate maoni ya Wadau

    Ilikuwa ikiniingizia 200,000 kwa siku kwa kuuza bia Zaidi ya 2000.. Mganga kaniambia niifunge ili nijue mbaya wangu nani katika biashara... Karibu nafanikiwa... Ila JF member usifunge biashara ni kazi
  10. JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  11. JamiiForums Tanzania Mapya alie mpiga risasi mkewe, yaibuka, wadau wafunguka kilicho kua nyuma

    Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania WADAU WA PROCUREMENT: NI TAASISI ZIPI TANZANIA ZINA ‘MAOKOTO’ HALISI—SALARY NZURI + SAFARI/PER DIEM?

    Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain. Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana kawaida, lakini ndani yake zina salary scales nzuri, procurement activities nyingi, field...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau wa Sekta ya Tumbaku waichambua Dira wa Dira ya Taifa 2050 na Mpango Kabambe wa Kilimo 2050

    Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050). Kikao hicho kimewakutanisha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TAWA yatoa Bilioni 2 kunufaisha Wadau wa Utalii

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi zinazotokana na rasilimali za utalii. Fedha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wadau, kuna tatizo kwenye mfumo wa malipo kwa Control Number leo?

    Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma ninayohitaji. Naomba kujua, ni mimi tu ninayepata tatizo hili au na wengine pia mnakutana nalo...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani: Wadau Wahimiza Jamii Kubadili Mtazamo na Kuvunja Ukimya

    Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO). Lengo kuu la siku hii ni kuongeza uelewa wa umma kuhusu afya ya akili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kariakoo napataje frem nzuri iliyopo mbele

    Mambo vipi wadau, natafuta frem nzuri iliyoko mbele Kariakoo. Karibuni wadau kwa maelekezo zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…