Kamishna wa Ardhi, Nathaniel Nhonge, akizungumza na wananchi katika eneo la Shule ya Msingi Majengo, Bagamoyo, Oktoba 19, 2026, kabla ya kuanza kusikiliza na kushughulikia changamoto zao za ardhi.
Katika mazungumzo hayo, Nhonge amesisitiza umuhimu wa kutoa huduma kwa wakati na kuzingatia...