Hongereni na poleni kwa pilika wakuu.
Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk.
Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...