waziri katambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Wanaume angalieni pa kuweka moyo wenu msije mkaingia kwenye jinai

    Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji na "Majeshi" Binafsi Vikitikisa Nchi: Kwanini Waziri Katambi na Boss Wake Wanaona Dudubaya na Uchafu wa Dar Ndio Kero Kubwa?

    Habari wana-JamiiForums, Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
  3. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi. Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali "Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Video ya Dudu Baya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo. Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi ayaita makampuni ya simu Wizarani ili kujadili kuhusu utapeli unaoendelea mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina...
  6. JamiiForums Tanzania Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki

    Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula. Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula Soma Pia: Malu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Tutachukua hatua pale mtakapovunja sheria, kuna watu wametoa takwimu za Serikali za uongo

    Anchoongea Waziri Katambi kwa maandishi Kuna ambo wana kauli za ajabu kwenye vyombo vya habari. Tutachukua hatua pale mtaakapovunja sheria. Lekini hatutaishia hapo tu. Na hii haivunji na haihusianii na kuvunja haki za binadamu na utawala bora, haihusiani na kuvunja misingi ya haki za binadamu...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  9. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Ningemshauri waziri Katambi asimamishe leseni za uchungaji kuna kilio cha maadili vinatoka huko

    Msikieni huku mchangisha michango Msanii na mdau wa sanaa Steve Nyerere amependekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kusitisha utoaji wa leseni za uchungaji, akisema hatua hiyo inaweza kusaidia katika kulinda na kujenga taifa lenye misingi imara ya imani. "Ningesema tu wizara ya mambo ya ndani...
  10. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Madereka Vs Waziri Katambi, utabaini serikalini Kuna poyoyo, na nje ya serikali Kuna smart brain Ina inaliza sana jamani

    Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana sana Yaani Waziri Katambi anavyotetea hoja dhidi makosa yake kisheria dhidi maagizo yake kwa IGP...
  12. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Paternus Niyegira: Waziri Katambi hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya Siasa, pia hana mamlaka ya kumuagiza IGP

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia shughuli za vyama vya siasa nchini Akizungumza kupitia kituo cha redio cha Crown FM, Niyegira...
  13. JamiiForums Tanzania Niyegira: Waziri Katambi anatakiwa kujikagua kuhusu kauli yake, ameiweka Serikali katika hatihati ya kurudishwa nyuma

    Mchambuzi wa Siasa, Paternus Niyegira aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Kituo cha Crown FM, Juni 26, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Waziri Katambi sasa kwenye ubora wake

    Wahenga wanasemaga kuwa hapa duniani ogopa Sana teknolojiia na serikali iliyo madarakani. Huu hapa chini ndiyo uhalisia wa MH Katambi.
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza kufungiwa Maeneo yote ambayo yatabainika kuwa na matishio ya usalama katika kipindi cha usiku

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ammwagiza IGP Wambura na Makamanda wa Polisi Mikoa kufungia maeneo yote ambayo yatakuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani nyakati za usiku Pia soma Waziri Katambi: IGP Wambura atoe maelekezo kwa ma-RPC kuimarisha uratibu wa mipango ya kiusalama...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaitishwe nchi nzima kupinga kauli ya Waziri Katambi kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba. Katambi ajiuzuru

    Ni kweli kabisa Katiba ya JMT inaruhusu watanzania kujumuika na kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT. Japokuwa kuna limititations kwa mujibu wa ibara ya 30 (5) wa katiba ya JMT. Mpaka sasa hatujaona kama kuna uvunjifu wa amani au viashiria vya uvunjifu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Waziri Katambi anajisikia anachokisema anapodai wamekamata watu wenye silaha na madumu ya mafuta waliokuwa wakipanga kuchoma moto?

    Pale bungeni unasema mmekamata silaha na madumu ya mafuta wakijipanga kuchoma moto siku ya maandamano. Hizi kauli mnaongea mkiwa chumbani kwenu au mkiwa mpo bar. Sio mara ya kwanza kumsikia Rais, Waziri, IGP na wewe sasa.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Agizo la Waziri Katambi lipo kinyume cha Sheria

    Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo lipo kinyume cha sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano. Soma: Waziri Katambi apiga marufuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…