Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.

- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao. Big point here Baba.

In General leo sasa umeongea kama Rais.

Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.

====





 
Hata jana angeweza kuyasema ila sasa utaanzaje kufungua Ilani kwa ajili ya uchaguzi wakati mnatolewa katika gemu ya uchaguzi?
Walianguka kwenye mtego wa CCM. Tena lengo la CCM ni kuwachanganya hadi mjitoe kwenye uchaguzi kama ilivyokuwa kweye serikali za mitaa. Don't fall in their net.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.

Umesema kweli. Lissu inabidi aongezewe muda, apewe dakika 45 hadi 50 badala ya kupewa dakika 30 tu
 
Haswa sehemu ya kuongeza mishahara amegusa sehemu kubwa ya mioyo ya watanzania kwani tumekaa miaka mitano bila nyongeza ya mishahara
Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.

Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…