So
Labda marekani ya chato!!!

Magufuli kaajiri marubani wawili tu kwa kipindi cha miaka sita. Hizo ndizo ajira tunazoambiwa na ccm.

Ajira za marubani wawili na "air hostages" sita!
Marekani siku hizi ni hapo next tu,mnajidai mnajua kila kitu kumbe zero tu. Narudia hata US hakuna ajira plus ubaguzi juu.hakuna unachotudanganya hapa.
 

..mimi nataka pawe na ushindani wa wagombea watatu[act,cdm,ccm], au three-way race.

..kura zikigawanyika namna hiyo vyama vya siasa vitaheshimiana na tutapata utawala unaoheshimu haki na demokrasia.
 
Kwa vile Lissu ni msema hovyo na muongo na kwa sababu wewe umempa mambo yote ya UONGO, basi atayadaka na kuyasema bila kuyatafari kama wewe ambavyo hukuyatafakari bali umeishia kuyaandika tu. Yote hayo hapo juu hakuna hata moja lenye evidence bali ni propangada tu zitakazowaingia wana CDM na kuwacharusha kama pale Mbagala Zhakem juzi.
 

Taja uwongo mmoja katika hayo niliyoorodhesha
 
Kutokana na hali ya kisiasa ilivyokua nchini ndani ya miaka 5 Watanzania walishakata tamaa kabisa kutokana aina ya utawala uliokuwepo kwa kukandamiza vyama vya upinzani na kukiruhusu CCM pekee kufanya mikutano ya kisiasa kwa lugha la kisingizio kuwa wanakagua utekelezaji wa ilani ya chama.

Kilichowastua ni kukutana na mgombea wa aina yake mwenye roho ngumu kutoka upinza, mgombea aliyekaa ujasiri asiyeogopa mateso aliyopitia, mgombea aliyekuja na sera ambayo CCM imeshindwa kabisa kuzitekeleza na zingine zimetumika kuwakandamiza wanyonge. Kila mahali hasa makundi ya vijana waliokata kwa kukosa ajira, vijana wa vyuo vikuu wanaonyanyasika kwa makato makubwa yasiyo zingatia mkataba.

Kingine cha kushtua zaidi ni Lissu kuwa na aina fulani ya maneno yenye ushawishi na kuwaletea furaha kubwa watanzania.Ni aina ya Mtu mwadilifu na mkweli mwenye nia njema na taifa lake. Wasiompenda ni wale wanufaika na mfumo hasa wateule Wa Magufuli ambao wanampa hoja jina mtu aliyetumwa na Mabeberu.
 
Kweli Kabisa, inabidi amzibe Magufuli mdomo...kunadi sera mpya za Chadema ni kupoteza muda, inatosha kumpiga Magufuli kwenye makosa yake, na mauongo yake
Mbona sera za CHADEMA tayari zinamzIba mtu mdomo? Kwa mfano uhuru, haki na maendeleo ni full inaanika uongo wa CCM.
 
Wakuu tuwe tunaweka hili sawa kwanza kabla ya kushuka na uzi mrefu wa kuwapangia Watanzania juu ya maamuzi yao.

Wapo watanzania wanaoukubali utawala wa Magufuli tena wengi tu. Na hawanufaiki na mfumo zaidi ya kukubali kazi yake nzuri anayoifanya kwa taifa.

Vile vile naamini wapo wanaomuunga mkono Lissu. Lakini, mashabiki wa Lissu wanajitoa ufahamu wanadhani kila anayemuunga mkono Rais Magufuli ananeemeka. Kama ni kuneemeka tunemeeka kama ninyi tu wananchi wengine kwenye kila aliloboresha Magufuli ndani ya nchi hii.
 
Nilidhani Prof Ndumilakuwili kumbe ni wewe bwashee!
 
Wakuu tuwe tunaweka hili sawa kwanza kabla ya kushuka na uzi mrefu wa kuwapangia Watanzania juu ya maamuzi yao.

Wapo watanzania wanaoukubali utawala wa Magufuli tena wengi tu.
Jisemee wewe mwenyewe, vinginevyo weka option pool watu wapige kura nani anakubalika betwee the two...
 
Tunahitaji kubadilisha mfuo ccm uliodumaza taifa letu kwa miaka 60 sasa, ccm basi!
 
Makamanda wa mitandaoni wakati kura zipo zimetulia hamzifikii na thread zenu za jamiiforum, miaka nenda Rudi mmekalia ushabiki!

Mmeacha ajenda ya tume huru Sasa hivi tayari mmejihakikishia ushindi, upinzani wa Tanzania hauna faida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…