Mkuu unadhani mzizi wa tatizo ni nini
 
Wee jmaa kumbe Ni kiazi sometime embu acha hzo bemba ba
 
Au anaambiwa lakini ni mbishi?au haambiliki?
Mama Maridhiano anaongoza serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Mawaziri linateuliwa kutoka Serikali kivuli ya Msoga,sasa Mama wa watu afanye nini?
 
Binafsi sitaki kuinganisha hii na magufuli ILA ukumbuke taa zilizimika match kubwa iliyopita,
Kulikuwa na haja kwa taa kuzimika tena uwanja mkuu wa Taifa kwa match kubwa watu wasiwajibike??? unajua hii ni kuharibia Nchi reputation? madhara yake ni makubwa sana
Huu ni uzembe wa hali ya juu na unawezakuta watu wamejiandikia mamilioni ya pesa kuwa walitengeneza...
 
Uozo wa CCM, badala ya kuweka watu wenye taaluma, wao wanaweka makada wao! Hizi aibu za kujitakia
Nayo hili Ni hoja kweli majitu wanawekwa bila taaluma husika Kama MD wa tanesco wala siyo injiniaa
 
Mbuzi hawezi kuelewa gitaa hata ulipige vipi? Jaribu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…