Mkuu unadhani mzizi wa tatizo ni niniKuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini