Kazi yake nini hasa Kama waziri wa Nishati hausiki na upatikanaji wa Nishati ?Waziri unamuonea tu. Siku ya tatu tangu ateuliwe kulikuwa na mechi baina ya Tanzania na Uganda umeme ukazima.
Aliyefeli ni mama Samia na serikali yake nzima. Ulitaka waziri ndiyo akarekebishe taa na familia yake??
Na huwenda sasa haya yote shida ni mkuu wake makambaTangu umeme ulipokatika pale Ukumbi wa Kuringe Rais Samia akiwa anahutubia nilijua hii Tanesco ni majanga sana
Watu wa nishati hawa husiki kwa lolote mkuu kwa sababu tatizo sio umeme bali tatizo liko kwenye taa anaye takiwa kuwajibika ni meneja wa uwanja.Kwa hili hata waandaji wa video show mitaani urahumiwa sana na watazamaji na ni aibu sana kwa muandaaji. Ivyo ni aibu kwa nchi ya Tanzania, meneja wa kiwanja. Inatakiwa waadhibiwe wanao sababisha usumbufu huu hasa waziri anayehusika, meneja wa uwanja na watu wa nishati kama ili linawahusu
Umeona namna serikali yako unayoitetea ilivyooza?Generator linahitaji winchi kubwa Sana ili kulinyanyua kwa ajili ya kulisafiriaha. Hivyo serikali imemlipa mkandarasi wa kutengeneza winchi mpk mwaka 2035 kitakuwa limekamilika
Wizara hii inahitaji watu, watu kweli
Mama anaupiga mwingiHili Taifa lilipofikia ni kuleana tu!
Nchi inayoomba kuandaa mashindano ya CAF bado inaushamba unaojirudia rudia kuzimika taa kwenye uwanja wake mama?!
Ndani ya mwezi mmoja taa za uwanja wa Taifa zimelitia doa Taifa.
Mijinga mimtu inayoongoza sekta husika imekalia kuiba pesa za Watanzania tu!
Acha tuendeleee kulia tu.Kwa kweli nalia ngwena!