Sisi ni wazuri kwa maneno, kusifia udhaifu kwa vitendo na uhalisia ni sifuri
 
Samia hawa ndugu katika imani wanakuangusha sana,tumbua huyo mkurugenzi Salum Mtumbuka.

Samia unataka pepo na huku unataka utawala...hivi vikai pamoja!
Tumbua na huyo january wizara imemshinda,uoga wa nin?

 
@Bei Elekezi huo ni usenge kupeleka lawama kwa watu WA pwani ?? Kwani wao ndio wamezima umeme
 
Issue siyo upungufu wa nishati. Ni technical faults za mfumo wa umeme uwanjani.
Mfumo wa Umeme uwanjani leo hii ulikuwepo sehemu Ngapi Tanzania ? Sehemu Kibao leo mchana kutwa kulikuwa hakuna Umeme; Kwahio pamoja na hao wazembe Uwanjani kuna Kinara wa Uzembe hapo Juu katika Wizara ya Nishati
 
Nawakumbusha tu,
'Tanzania Tanzania nchi yenye mali nyingi,
Watu wengi wa ulaya wanaililia sanaa.'
[emoji38]
 
We tetea jipu tu ilo !!! January ni bonge moja la waziri mpuuzi Sana kwenye utawala wa simia

Huwezi kuelewa kwa sababu huwezi kuelewa!!!
Makamba ana mapungufu kibao tu lakini anatakiwa alaumiwe kwa yale yaliyoko chini ya mamlaka yake tofauti na hapo itakuwa ni chuki tu.

Tatizo la uwanja wa taifa sio umeme bali taa ndo mbovu angalau ungesema kuwajibishwa kwa waziri wa michezo ningekuelewa.
 
Poleni Sana wakuu,hapo uwanjani hakika poleni Sana,nasema poleni sanaaaaaaaaaaaaaaaaà
 
Yanga wana mambo ya kitoto sana, wamekwenda kuzima taa halafu wasingizie kuwa ni Simba ndiyo wamefanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…