Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Ndio maana JPM aliitwa dikteta mana kwa aina hii ya viongozi wa hii nchi aisee bila kipigo hawaelewi.

Ingekuwa ni uwezo wangu, waziri wa michezo na meneja wa uwanja wangerudi makwao na daladala.

Afu kesho utasikia mama anasema hili nalo mkalitizame

F*K
 
Mechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.

Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?
Umeme haujakatika ila taa ndio zilipata hitilafu sasa standby generator ingesaidia nini! Hata hivyo hiyo standby generator ipo.
 
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.

Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Pascal Mayalla naipongeza chama chako toka kipate uhuru matatizo ya kuzimika kwa taa uwanja wa taifa bado yapo.


Siku ccm itakapotoka madarakani hakika Tanzania itakuwa nchi ya mfano kuigwa..
 
Kuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini
 
Una uelewa hata mdogo kuhusu umeme? Maana naweza kuwa nabishana na mtu ambaye kwenye tasnia hii ni lipopoma kqbisa
Kama Mwananchi na Mlipa Kodi sihitaji kujua wala kuelewa kuhusu Umeme bali nahitaji kupata nishati hii kwa uhakika....

Nachojua ni kwamba mfano leo hii umeme ulikuwa haupo sehemu kadhaa kwa masaa takriban 12; hauhitaji kuwa rocket scientist kufahamu kwamba hio haipaswi kuwa ni kawaida; Kumbuka hapa siongelei uwanja wa Taifa Per se bali Uchapakazi au lack of wa huyu so called muheshimiwa
 
Kuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini
Mzizi wa tatizo ni upi we kiazi
 
Back
Top Bottom