Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme haujakatika ila taa ndio zilipata hitilafu sasa standby generator ingesaidia nini! Hata hivyo hiyo standby generator ipo.Mechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.
Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?
Pascal Mayalla naipongeza chama chako toka kipate uhuru matatizo ya kuzimika kwa taa uwanja wa taifa bado yapo.Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.
Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Au anaambiwa lakini ni mbishi?au haambiliki?Huyu mama haambiwi ukweli.
Kwa hiyo zimewekwa taa mpya uwanja mzima kwa hizo dakika umeme ulipokatika?Umeme haujakatika ila taa ndio zilipata hitilafu sasa standby generator ingesaidia nini! Hata hivyo hiyo standby generator ipo.
Anaupiga Mwingi Sana SanaHizi zote ni jitihada za serikali ya awamu ya sita katika kutoa furaha kwa watanzania #HakikaUnapigwaMwingi
Ccm HoyeeLupaso
Kama Mwananchi na Mlipa Kodi sihitaji kujua wala kuelewa kuhusu Umeme bali nahitaji kupata nishati hii kwa uhakika....Una uelewa hata mdogo kuhusu umeme? Maana naweza kuwa nabishana na mtu ambaye kwenye tasnia hii ni lipopoma kqbisa
Mataqo yakohuyu Rais tumepigwa yaani Hana macho!!
Mnamuonea bure huyo mama!Halafu Samia afike sehemu aache kukenulia watu meno tu wakinaJanuary wanatakiwa kufukuzwa kazi Hawa!!!
Lakini wanashindwa kabisa kukarabati uwanjaTukumbushane: TFF ndani ya dakika 180 za mechi za simba na Yanga wanaingiza zaidi ya Tsh 200m
Mzizi wa tatizo ni upi we kiaziKuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini
Kiazi mwenyeweMzizi wa tatizo ni upi we kiazi
Kila kitu ktk nchi yetu HV SAS Ni dhaifu ,pooorKilichotokea kinareflect uhalisia wa uongozi katika nchi yetu
NB Hi ndio hali hali hata katka idara na taasisi za serikali.