Ukiangalia kwa jicho la tatu, haya ni maneno ya Samia anamwambia Mbowe kupitia kinywa cha Makala.

Hii ni kauli ya kimkakati, haikutoka bahati mbaya....Makala ni punda mbeba mzigo.
Sasa ina maana yeye Rais anatumia pesa za umma ktk mambo binafsi? Si rushwa hii??
 
Ni dhahiri kuhamishiwa kwenye Sato mama hakukosea mana vichwa vya samaki huongeza akili
 
Chawa Makalla bhana !!
Kama ulivyo CHAWA wa mh.Mbowe....

Dadaangu Tusekelege vipi huko ?!!!

Baada ya suala hili la ukunjwaji wa bilioni 2 "fasta" umetokeza kuja kuokoa jahazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mh.Amos Makalla amekuletea usumbufu sana...kwani ulikuwa "chimbo" ukimpangia mrejesho wa mashambulizi mh.waziri Nape Nnauye kwa ile kauli yake ya bungeni....leo wameendeleza MASHAMBULIZI.....[emoji1787]




Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mavi ni kinyesi cha ajabu sana! hayajawahi kumwacha mwanasiasa salama!
mtu hata akiyakanyaga anachechemia kama kakanyaga mwiba! sasa shughuli ni wakati wa kuyatafuta! mwanasiasa haoni shida kufedheheka kwa ajili ya njaa yake!
 
Ujinga Pro
 
Hili jambo kama kweli linafaida kwanini CCM wanatumia nguvu kubwa sn
 
Uzi unatembea kweli kweli....

Akiguswa tu Mh.Mbowe.....mashimo yote yanabaki TUPU .....wako mitaani kuja kumpambania mwamba tuvushe......aagh mh.Makalla amekuwa MPULIZA FILIMBI WA HAMELINI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…