Namwona sabaya kama ana bibilia mkononi kweli duniani hakuna kinachoshindikana aisee gereza c mchezo kumbe hata shetani anaweza kuokoka ni suala la muda tu
 
CCM mbele kwa mbele
CCM miaka 100 tena

Apandacho mtu ndicho avunancho na asiyejua maana haambiwi maana
Duuh kweli akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki. Unamnanga kada mtiifu mwenzako badala ya kumpa moyo?
 
Kuahirisha kesi wiki mbili mbili uliye nje unaweza ona ni muda mdogo ila ukiwa ndani ndiyo utaelewa wanavyosema "Kama jela kuzuri mpeleke mwanao"
Hapana Mkuu, kama ni kuzuri uende mwenyewe na siyo kumpeleka mwanao.
 
Siyo aliyekuwa sema DC wa Hai aliyesimamishwa kazi. Mwenzako pamoja na kuwa lock up bado analipwa mshahara nusu mpaka atakapofukuzwa kazi au kufungwa
 
Ni dalili ya makosa kufutwa na kodi zetu kumlipa fidia
Labda umlipe wewe fidia ya kumpa masaburi,

Uyo ushaidi wake upo dhahiri, Kama we ndio kimada wake nakushauri tafuta tu bwana mwingine, Next week UN nao wanamfungulia kesi pia
 
Jela sio mchezo Wakuu, Jambazi Sabaya anakimbilia umodo Kwa kasi ya ajabu
 
Kwel mataga mmechanganyikiwa,so kuvaa suti kunakufanya ucwe jambazi sugu????kweli bi.Kirembwe aliwaroga mkarogeka
Nilijua tu lazima umtaje bi kirembwe maana bila kumtaja mimba yake aliyokuachia ingesababisha utapike siku nzima ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…